Top Ngozi Quotes

Browse top 4 famous quotes and sayings about Ngozi by most favorite authors.

Favorite Ngozi Quotes

1. "You could have just said Ngozi is your tribal name and Ifemelu is your jungle name and throw in one more as your spiritual name. They'll believe all kinds of shit about Africa."
Author: Chimamanda Ngozi Adichie
2. "Nafasi yako peponi itapotea iwapo utamruhusu Pluto (kiongozi wa ahera) akukaribishe bazarai (makao makuu ya ahera) kwa kuchukua maisha yako mwenyewe. Kujiua ni kujipenda zaidi kuliko unaowapenda. Anayejiua hujifikiria zaidi yeye kuliko wengine."
Author: Enock Maregesi
3. "Wasifu wa viongozi wa Kolonia Santita ni siri kwa sababu siri ni siri ya mafanikio."
Author: Enock Maregesi
4. "Mandela alikuwa hodari ndiyo maana akapelekwa jela. Alikuwa mvumilivu ndiyo maana akakaa jela kwa miaka ishirini na saba. Alivyotoka akawa kiongozi bora wa Afrika Kusini. Utu ukafanya awasamehe binadamu wenzake. Urithi wa Nelson Mandela kwetu ni uhodari, uvumilivu, uongozi bora, utu na msamaha kwa binadamu wenzetu. Mandela alikuwa baba kwa familia yake. Kwa Afrika Kusini alikuwa mlezi wa ndoto, ya amani na uhuru."
Author: Enock Maregesi

Ngozi Quotes Pictures

Quotes About Ngozi
Quotes About Ngozi
Quotes About Ngozi

Today's Quote

I'll carry on, carry over, carry forward, Cary Grant, cash and carry, carry me back to Old Virginia, I'll even 'hari-kari' if you show me how, but I will not carry a gun!"
Author: Alan Alda

Famous Authors

Popular Topics