Top Tiki Taka Quotes

Browse top 1 famous quotes and sayings about Tiki Taka by most favorite authors.

Favorite Tiki Taka Quotes

1. "Majina ya vitabu yanapaswa kuchaguliwa kwa mantiki na kwa makini ya hali ya juu mno, kwa sababu ni miongoni mwa vitu vya kwanza watu wanavyoviona na kuvisoma. Watu wakivutiwa na jina la kitabu, au mwandishi; kitu cha pili watakachovutiwa kuangalia ni dibaji, kusudi wasome muhtasari wa kitabu kizima. Kwa hiyo dibaji inapaswa iandikwe kwa mantiki na kwa makini ileile iliyotumika katika kuchagua jina la kitabu. Lengo la jina la kitabu na dibaji ni kuishawishi hadhira kusoma kitabu na kukifurahia."
Author: Enock Maregesi

Tiki Taka Quotes Pictures

Quotes About Tiki Taka

Today's Quote

You need to put what you learn into practice and do it over and over again until it's a habit. I always say, 'Seeing is not believing. Doing is believing.' There is a lot to learn about fitness, nutrition and emotions, but once you do, you can master them instead of them mastering you."
Author: Brett Hoebel

Famous Authors

Popular Topics